nimekuwa mteja wa vodacom
kupitia no.0753 345 000 toka 2002, mpawa natunza hadi naambiwa
nimefikia kiwango cha mwisho, kila siku najiunga kifurushi, nikipigwa
tafu narejesha kwa muda muafaka (japo sikumbuki mara ya mwisho ilikuwa
lini), miamala yangu ni kupitia m-pesa. Nikipiga customer care mara moja
naammbiwa 'labda' tutajie namba fulani..nikirudi name hizo namba
naambiwa nilipie sh.100.. Najiuliza. Ni kiburi cha kupendwa? Au kudumu
nao muda mrefu wanahisi nimekuwa mtegemezi na mitandao mingine siijui?
Hawajui kama naweza kuhama na wateja angalau kumi?..
Wamezidiwa,wanatafuta namna ya kutupunguza?
- ni tatizo gani? (m-pesa, sms, calls, internet, usajili, kukatika kwa
mawasiliano n.k)
- maeneo gani? (tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi
uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu
nawe)
- tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa
muda gani?
- kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini
unapendekeza unachopendekeza
- kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi
tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
vodacom tanzania[/i][/size][/font]