wekea salio kwenye simu ya kawaida na ukishajiunga usibakize salio watakufirisi
angalia setting ya simu yako dada,, ama sivyo utahama mitandao yote coz smartphone huji uptade data hata kama huzitumii,
wewe unacheza ukishaweka kabla hujajiunga wananyakua pesa yao,mi laini ya voda imebaki kwa ajili ya mpesa tu
Hizi ni hitilafu za kiufundi, wanazijua lakini ni wavivu kuzirekebisha. Siyo hao tu uliyowataja, karibia mitandao yote, ukiweka salio la kutosha, mara ukwate lote au kiasi bila huduma yoyote ile. Au uungwe kwenye huduma zao kilazima na kuanza kukatwa salio.
Latoya , hawa Vodacom Tanzania ni member wa JF. Wasiliana nao uweze kupata haki yako na kusaidia wengine pia kama tatizo ni systematic.
Hapa: https://www.jamiiforums.com/habari-...ort-thread-maswali-malalamiko-na-ushauri.html
Dawa yao hawa ni kununua salio kupitia M_pesa kulingana na kifurushi unachotaka kununua, mimi pia ni mhanga wa tatizo hilo ila kwa sasa hawanipati kwa kuwa natumia njia niliyoieleza hapo juu.
Huu ni wizi wa mchana inawezekana usemayo ni kwel Kwan nimewapigia simu nimeenda oficin waknambia tatizo limeisha ila bado lipo kwann watufanyie uhuni huu? Kuwa tu wateja wao wenye kununua bando za wiki ama mwezi hawaoni kama ni jambo jema? Badiliken Vodacom wizi si mpango
Mitandao yote ya simu Tanzania ni wezi. Na hii mi TCRA imekaa kujilia miposho na misafari isiyokwisha.
Amkeni, Watanzania wanaibiwa huku bila huruma.
I think i will try that inauma sana unaweka salio afu hujatumia hata sent bt linatoweka kimiujiza
Nikweli,,,,,,ILA KATIKA MTANDAO ULIO SALAMA,VODA NI NAMBA MOJA,,,,,HUU MWAKA WA 15YRS. NATUMIA VODA NA TIGO,,ILA KWA VODA SIJAWAI KUJUTA
Serikali yetu pendwa italifanyia kazi
Wewe nawe ndy wale wale mpaka mtu anaanzisha uzi hapa uje ehajakurupuka
hoja nzito mnajibu kwa majibu mepesi mepesi tu ptu ptuu Mulugo's type 😡😡