Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

It's not only you affected, even me i'm fade up with this Vodacom, it's too much.
 
Vodacom nikero kiasi nafikiria kuuhama mtandao huu sina muda mrefu,kwanza haya mabadiliko ya bandle bila ufafanuzi,unajiunga unakuta mb na dak,ni chache SMS kibao,hizo dak.sasa,nazo unaibiwa,mara kibao tu naibiwa,mf.Jana nimejiunga dak.19 nmeongea na mtu dak.9 zakwenye saa,dak.zamaongez zmekwisha,2.naibiwa kwenye internet bandleader,najiunga unltd bandle 24 hrs.natumia hata huo muda haufiki bandle imeisha,Mara ingine naweka Salio linakatwa eti nmekopa,hilo lasalio kukatwa kimyakimya sana tu.
 
Mitandao yote ya simu Tanzania ni wezi. Na hii mi TCRA imekaa kujilia miposho na misafari isiyokwisha.

Amkeni, Watanzania wanaibiwa huku bila huruma.

TCRA hawana jipya hao...wanajua haya matatizo yapo ila bado hawatusaidii...shame
 
jamani mwanza internet ya vodacom ni slow balaa.
 
Huku wilayani Kibondo mkoani Kigoma ,kero kubwa kwa wananchi juu ya mtandao wenu ni suala la Internet ,huduma hyi ipo chini na slow mno,unaweza ukawa una-download kitu kwenye net,kitu ambacho Dar ama Mwanza ungetumia dakika 5 huku Kibondo ni zaidi ya saa 1 y?tatzo lingne sikuhzi mmepunguza vifurushi vya Mb ni vichache na havitoshi,then hamtoi taarifa kama kifurushi kimeisha ama mda umeisha,unastukia mmekula hata salio lililokwenye simu,huo ni wizi shame
 
Kusema ukweli kabisa bila kumumunya ama kuleta ushabiki internet yenu ina shida nimeshindwa kabisa kutumia kwanza iko slow utafikiri unatumia GPRS lakini inakuwa on and off, imagine nakaa tabata weekend napenda kuangalia mpira kupitia mtandao live streaming without tigo hakuna tatizo, siku ukisema uweke voda hizo mechi huzioni. Huenda mnazuia makusudi speed mmpate faida au kuna tatizo hamjui kama lipo
 
Guys we are the best in blaming always, and this has been our culture..for me its different sincerely i make calls with airtel but internet Vodacom is the best, unless your devices have problems, wadau mbona nipo kigogo tu halafu net ya voda ni spidiiiiiii
 

Hatujakataa,ila penye hitilafu lazima tuseme kwan tunalipa,we ni msemaji wa vodacom au umetumwa? Watu wote tulalamike au peke yako hiyo device yako ndio nzima wengine wote simu zetu vimeo? Acha zako bhana internet ya voda siku tatu hiz imekuwa chenga huo ndio ukweli na sio huko tu ni sehem tofaut,mwz wanalalamika,dar wanalalamika tanga wanalalamika we unakuja na point et labda cm zetu ndio zenye hitilafu! U cant be serious
 
Jamaa alie tengeneza Application ya Spy Mobile anajua sana!! Nilidhani itakua magumashi kitu kina spy fresh napata calls, sms, gps na hata text za whassap za mpenzi wangu. Yani ina hack mobile activity. Iko poa sana japo kuidownload inalipiwa kama dollar 2 kuna watu humu jf wali ni PM jinsi ya kuipata waweze kudownload. Kuipata Application hiyo bofya hapa http://tinyurl.com/ljpylxf ni kwa watumiaji wa android tu.
 

Joyce kwanini unafanya hivyo??? do u have what it takes? ? una moyo mkubwa?? na je wewe ungefanyiwa hivyo ungefurai??? unachofanya ni kuingilia privacy ya mtu
 
vipi mkataba wenu na SAFARICOM? umeisha au hamuaminiani.Inakuweke mtu akiwa kenya hata km hapigi simu ,hatumi sms au kupokea SMS/simu.Hela inakatika na dakika?Vipi mtu huwezi mpigia ukampata km hana hela?Ndio bishara yenu imekwisha nini?Why its cheaper calling voda from safaricom than Calling Safaricom nos?
 
Mbona huduma ya 3G Mmeweka mjini tuu... sisi wa vijijini mnatuzungumziaje?? Au y mnatubagua? Naomba majibu
 
Nikiwa Dar es salaam Kilometre 18 tu kutoka city centre mtandao wa vodacom haupatikani! Nimeshangaa sana! Tutasemaje ni mtandao reliable kama km 18 tuu kutoka posta mpya mtandao wenu unapotea kabisa!?

Nikiwa kigamboni maeneo ya kibada naelekea Dar es salaam Zoo. Nikiwa njiani kabla sijafika DSM zoo ninapatwa na emmergence katika kata ya Kisarawe II nikahitaji msaada kwa kuwapigia colleagues simu. Hapo ndipo nilipogundua line yangu ya VODACOM ilikuwa HAINA KAZI! - Nilijuta! No network kabisa! And that was just 18km from city centre! Lol!

USHAURI: WEKENI MNARA PALE MARA MOJA - KUNA WATUMIAJI WENGI TUU. MKIKOSA ENEO LA KUWEKA MNARA YOU CAN CHECK WITH ME - MSITUANGUSHE BWANA ... YOU CAN DO BETTER AND BE MORE REALIABLE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…