Pole Yohana, tafadhali tutumie kumbukumbu namba kwa msaada zaidi.Jamani enyi voda mmenikata hela yangu tar 12 nikawapigia mkaniambia mnalishughulikia lkn cha kushangaza ni week sasa mko kimya na mmezuia kuwapigia eti mpaka mnikate sh 100.jamani nyie voda vp kwa nn mnapenda kutuudhi Wateja wenu???.?
Naombeni mlishughulikie ttzo langu namba yangu hiyo 0763994423
aisee mbona mimi siwaelewi kuhusu hii MPAWA? yaani kila nikitaka kukopa naambiwa niende kwendo duka la voda na vitambulisho kuhakiki taarifa zangu. niliwaambia umu mkanipa link nikafanya hivyo nikafurahia huduma hiyo kwa week mbili tu baada ya hapo tatizo limerudi tena pale pale. Sasa wengine tunaishi nje na mji mpaka kulipata hilo duka la voda lazima usafiri. Maana naogopa ata kuendelea kuweka pesa uko MPAWA kwa kuhofia
Bandugu inashangaza voda wanavyoibia watu na wizara imekaa tu ohhh nataka kugombea urais sijui ndo kazi za hii wizara? Najua kuna watakaosema napambana na makamba jr. Hapana ila nimechukizwa sana, jana sa kumi nilokopa 900. Sa kumi na mbili na nikajiunga mia nne. Nikaacha mia tano kwani sina matumizi makubwa na voda sasa hivi na pata sms kifurushi kimekwisha nikaona nijiunge na ile balance yangu cha ajabu salio ni ziro , je? Salio la kuujiunga jana kama liliisha kwa nini wasingenitaarfu kabla mpaka wamalizie na mia tano yangu? Huu ni wizi na haukubaliki
...
Vodacomu mtandao chakavu
Wanatoa huduma mbovu
Kwa gharama ndo wanaongoza
Mtandao umekaa kama genge la matapeli
Wanaongoza kwa huduma mbovu kwa mteja
Wanategemea kuchota pesa za wateja kijangili
Tigo ndo mpango mzima
Basi voda igeni mfano