Amia airtel
Mmmh.....nilishahama kitambo hamjielewi nyie vodacom mnapata faida kubwa sana mnabania Mb zenu huku nilipo najiachia tu na mb za mwezi mzima, poleniNdugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Hivi nyie VODACOM niwaeleweje..? Huduma zenu mbovu sana nimetoa m-pesa kwa wakala pesa imeenda wakala hajapata meseji kwangu pia meseji haijarudi nikiangalia salio langu ni 0 pesa inahitajika haraka nimekaa zaidi ya lisaa 1 nasubiri tu napiga huduma kwa wateja mtangazo kibao. Jirekebisheni kwanza mnatoza gharama kubwa m-pesa wakati faida mnapata kubwa na mb pia mnabania che..!! nimewachoka kilichobaki ni kuhama.Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Unatatizo gani tukusaidie?Voda sio kabisa
Mkuu PM yangu umeiona? Naletewa the same response.Unatatizo gani tukusaidie?