Mtandao wa vodacom ni wezi wa Hela za wateja, wiki moja iliyopita Mke wangu alikuwa na salio la sh 3000 kwenye simu , siku hiyo ya kwanza wakakwiba tsh 300/=, siku ya pili wakakwiba tena 300/=. ikabidi kuwatafuta cha ajabu wakamwambia wife kajiunga na tusua mapene, maskini wife akabaki anashangaa tusua mapene ndy nyimbo gani, eeeh kumbe ni bahati nasibu ya kutuibia hela.
TCRA mpo kazi kudeal na blogs na kuwafungua wakina jamii forums, mambo yanayowatia watanzania umaskini mnaziba masikio. au mpaka hili oda itoke juu, sasa subirini siku JIWE apigwe mipunga yake kwenye simu yake ndy mtajua.
MATANDAO WA VODACOM NI WEZI WA HELA ZA WATEJA .... AIBU KAMPUNI KUBWA KAMA VODACOM MNAIBIA MASKINI.
NITAHAKIKISHA WIZARA HUSIKA NA TCRA WANALIJUA HILI, NA HATA CEO WA VODACOM TANZANIA, NA DUNIA. WAONE NI GANI JINSI MULTI INTERNATIONAL COMPANY INAVYOWAIBIA WATANZANIA