Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Hii ishu yako anayetakiwa kuishuhurikia ni M LIPA na si Vodacom tafuta namba yao ili ufanye nao mawasiliano...!!
 
Wewe ulitumaa Bila kuletewaa Msg ya Kuingizaa pesa toka 1xbet???????
 
Vifurushi vya internet vyenu nijanga la taifa elfu kumi 1GB kwa mwez......du ni hatari ngoja tuzamie mtaa wa pili
 
Nilinunua kifurushi cha mwezi mzima Tshs.35,000 lakini kwa kumbukumbu zangu nimeitumia tu takriban siku 18. Kulikoni?
 
Vodacom kifurushi cha DAR UNI mbona mnakitoa kwenye line yangu, menyu yenu ya *149*03# ni ya kipumbavu mnatoa na kurudisha mnavyojiskia. Wahuni nyie kwanini mnafanya hivyo au ndo mmeshika mpini sisi tumeshika makali
 
Vifurushi vya internet vyenu nijanga la taifa elfu kumi 1GB kwa mwez......du ni hatari ngoja tuzamie mtaa wa pili
Nishawachoka mkuu hawa vodacom, line yangu ya kitambo ndo hiyohiyo kwa kazi sasa hawa jamaa wehu wa vodacom wanajiamulia tu kuharibu viwango vya bundle bila taarifa, mtandao umevamiwa na wehu wanaendesha huu mtandao
 
Shukuru Mungu hujapigwa na wajanja wa mjini.......endelea kungojea hiyo bonus.
 
Halafu tabia ya nikinunua bando kwa M-pesa mna nizawadia 25mb naona kama mnaleta madharau.....,,25mb na fanyia nn sasa?
Vodacom Tanzania naomba tuheshimiane pls.
 
SUPA UNI INTERNET
Internet,1gb ni jina tu kama mb 200
Yaaan plaaaaahh mteja kifurushi chako kimekwisha
Duh,tunapigwa mbaya
 
Nyie voda mmekera sana kwanini mmebadilisha package za vifurushi?mfano kifurushi cha elfu 50,mwanzo mlikuwa mnatoa dkk1010 na GB7,sasa hivi mmeondoa kabisa GB mmeweka MB sijui vitu gani,yaan mnakera sana
 
Nishawachoka mkuu hawa vodacom, line yangu ya kitambo ndo hiyohiyo kwa kazi sasa hawa jamaa wehu wa vodacom wanajiamulia tu kuharibu viwango vya bundle bila taarifa, mtandao umevamiwa na wehu wanaendesha huu mtandao
Ni kusepa tuuu mdogomdogo akil itawakaa sawa
 
Tutalipwa lini gawio la share zetu?
Huduma ya Dar Uni ukitaka kujua salio lako baada ya kujiunga na kifurushi hiki napiga *149*60# ila sipati ujumbe wowote kwani nakuwa sijui kama salio ni kiasi gani ili niweze kununua tena kifurushi, embu vodacom rekebisheni hilo tatizo
 
Mnamo tarehe 12 Sept.2018 nilituma pesa kutoka ktk account yangu ya M-Pesa 500,000/= Tsh(Laki 5) kwenda bank ya DTB(Through CELLULANT Tanzania Ltd),sms ya malipo nikaipokea tarehe 13 sept.2018.Cha kushangaza kwenye account ya DTB pesa haikuingia.

Nilipiga simu huduma kwa mteja bila mafanikio,kwa bahati mbaya siku hio hio nilitakiwa kusafiri nje ya nchi hivyo nikaondoka na kumwachia mdogo wangu afanye follow up.Alivyowasiliana na vodacom wakamwambia aende Bank ,kwenda bank wakamwambia hakuna pesa iliyoingia,akawapigia tena voda,ila cha ajabu voda hawajafanya chochote na mpaka sasa pesa haijaingia kwenye account.

Tafadhali sana Vodacom ninaomba mshughulikie tatizo langu,nimeattach image ya muamala.
 
Ningependa kufahamu hii kitu hapa chini imefikia wapi

10/09/2018
Mastercard partner with Vodacom to take Tanzania cashless.

Anyone who has been able to buy something without getting out of their chair can attest to the convenience and simplicity of shopping online. Unfortunately, that has been a distant dream for most Tanzanians – until now. Mastercard has partnered with market leader Vodacom and BancABC to introduce the first online card in Tanzania – the M-Pesa virtual card.

“Vodacom’s M-Pesa is already an industry trailblazer with over 8.2 million subscribers and over 100,000 agents countrywide that enable citizens to transact safely and easily, but customers are limited when it comes to making online payments on international websites.

The introduction of this functionality through the M-Pesa virtual card will revolutionize how people transact by removing the barrier of having bank accounts and risk of putting bank details online,” says Hisham Hendi, Vodacom Tanzania PLC’s Acting Managing Director.

SOURCE: VodaCom Tanzania
 
Kwann mtu akiacha salio mnalichota kidgokidgo Bila kujua mtu kajiunga Na huduma yoyote.huu ni wizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…