Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom kwa kweli, Ile kauli mbiu yenu yajayo yanafurahisa si kweli, Afadhali mseme yajayo yanakasirisha. Mteja unampandishia gharama halafu afurahie. Vodacom acheni utapeli.
 
Vodacom kwa Kweli saivi mnaboa Sana customer care yenu ni mbovu Sana.

Simu yangu nikitaka kupiga simu Hazitoki kabisa. Inaniandikia ACM LIMIT EXCEEDED nimekuja Hapo mlimani City wameshindwa kunisaidia. Nimeambia basi wa swap line hawataki.

Eti line yangu ipo kwenye mkataba na kampuni yangu. Kwa hiyo mnataka nikae tu bila kupiga simu. Mbona nikipigiwa hazina shida.? Naomba msaada shida hiyo ni nini?
 
Badili tu mtandao mkuu..wanasumbua mno
 
Hawa jamaa nilikuwa nawakubari sana ila kwasasa ni ovyo hasa ktk un offer miaka ijayo wakiendelea hivi halotel watawapga
 
Luna hili suala la kukatwa wakati wa kutumia SIM Banking hats jama hujaunganishwa na Bank husika. Inaumiza sana.
 
Weka pia BEI YA HISA NA GAWIO KWA WANAHISA, why imeshuka namna hiyo na wahy gawio mkia wa mbuzi kiasi hicho


 
Yajayo yanafurahisha 😀 😀 😀😀
Endeleeni tu kuongeza bei za vifurushi si nmetuona sisi mazombi tunafurahia
 
Mimi ni wakala nilizuia muamala niliokosea kutuma kwa mteja kwa kufoward sms kwenda namba 100 matokeo na message ya kuzuiliwa muamala nikapata leo munaniambia mtu aliye pokea pesa kimakosa kafanikiwa kutoa ela usalama wa huduma zenu uko wap mumenikwaza sana na kunialibia siku
 
Mbovuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Yaani tanga uni ilikua 500 mb ss hv 250 saa 24
Si bora nielekee halotel mb 500 wiki
 
Habari za majukumu ya kutupa huduma kulingana na viwango vyenu vipya kila siku naomba tafadhali kwa sie wengine tunaotumia ya kwako tu turudishieni kifurushi cha 500tzs 10minutes for 7days week
 
Ushauri wangu, mteja ajue salio lake kabla ya kutuma au kununua salio wakati wa kuaccess M pesa. Yaani kabla ya kuthibitisha yaje maneno kama haya;

Tuma au nunua sh kadhaa salio lako litakuwa sh kadhaa baada ya hapo ije step ya kuconfirm. Hii Itapendeza kuliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…