Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Tatizo kubwa linalonikeza VODACOM,meseji za Tatumzuka,Instamoja,supa5,na nyingine nyingi.Ninapowasha simu zinakuja kama mvua mpaka nimelazimika kutoa sauti katika meseji.Nipeni ufumbuzi wa kublock meseji kama hizo.
 
nipo vwawa wilaya ya mbozi mkoa wa songwe naomba kuuliza laini ya M-PESA(till) ukiomba huwa inachukua mda gani ili uipate maana kila nikienda ofisini zenu hapa vwawa naambiwa bado hazijaja nao hawajui zitakuja lini. huu ni mwezi wa nne sasa je nisubilie mpaka lini?
 
Voda wapi vzr sehemu kubwa lakin mapungufu yao ni
1. Mteja unaetumia vocha nyingi kwa mda mfupi kwenye kifurushi cha ya kwako tu bei inapanda zaidi badala ya kukupunguzia.

2. Gharama za kutuma na kutolea Mpesa ni kubwa sana zipunguzwe tafadhali
 
kwanini nikiweka vocha,ni mpaka ni restart simu ndo vocha isome na niweze kujiunga na vifurushi?
 
Swali langu kwanini mmeanzisha huduma ya songesha alafu mtu akifanya muamala huo mnampa alafu siku nyingne akifanya mnakataa mnapunguza kiwango cha songesha mwanzo nilikuwa napata 10000 sasa hiv mia 300 bora mtoe tu hii huduma kwa line yangu maana mnazngua
 
Vodacom! Kuna mfanyakaz wenu anaitwa Mary Grory ni Supervisor! Kiukwel huyo mdada hastaili kuwepo ktk position ya kuhudumia!

Mfano unaweza kuwa na tatizo la system, Yan kuja kulitatua inaweza kupita hata miezi 4! Sasa kwa kufanya hivyo wateja wanaokuja ktk hizi voda shops au voda desk wakikuta huduma zinazohitaji system hakuna kwa siku 4au zaidi hawawezi kurudi na kuwapoteza!

Jaribuni kumweleza huyo muhusika ili abadilike!
 
Voda mnaboa sana gharama zipo juu sio kupata bundle la data, dk kote tabu tupu kutuma hela hata voda kwa voda gharama sana.Huwa hamjali wateja wenu hata kidogo.zaidi kuwaumiza
 


TARATIBU ZA KUWA WAKALA
Ninaomba kufahamishwa ni zipi taratibu za kufuatwa ili kuwa wakala wa MPesa
 
0767 242454 hii namba mmeipiga "ban" mwaka wa tatu sasa,haitoi simu,inaingiza tu simu,nimetoa taarifa mara nyingi na bado sijapata jibu mujarabu,hebu nifungulieni hii namba jamani.
 
Naomba kufhamishwa vigezo vya kupata mkopo wa mpawa kwa simu yangu ninayoitumia mwaka wa pili sasa 0766361429 naombeni vigezo ili nifanikowe kimaisha
 
Vodacom Tanzania

Leo mna shida gani kwenye kutuma sms? Tangu jana usiku unazingua,sms haziendi,zinafell hata kusema tu kwamba kuna tatizo la ufundi hakuna.

Hivi mnajua kua mteja ni mfarume?
 
Mkuu unatumia m-pesa app??
 
Nahisi Voda wanatumia ndumba(kizizi), maana nashangaa kuna watu still na kulialia lakini bado wanatumia mtandao huu wa kijambazi.
 
Kwa nini vodacom bei zenu sio static unaweza leo ukakuta kifurushi 1000 kesho buku 2000...ni shida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…