Konokono anakimbia kwa spidi kubwa kuliko Airtel.Hamia Airtel jombaa
Mkuu haya majuto nilidhan yananikuta mm tu,, coz asubuh hii nimenunua vocha ya hero nkajiunga MB 100 nimeanza kuperuzi tu Opr/min naambiwa zimebaki MB 58Wazee nimeanza kutumia voda baada ya kuchoshwa na spidi ya kobe toka halotel ila awa voda yani spidi yao iko fasta lakin bando halikai yani fasta tu limeisha
Tatizo nini?
Wazee nimeanza kutumia voda baada ya kuchoshwa na spidi ya kobe toka halotel ila awa voda yani spidi yao iko fasta lakin bando halikai yani fasta tu limeisha
Tatizo nini?
Nadhani leo asubuhi walikua kwny operation za wizi,nimenunua mb 1000 nikatumia only 40MB (nina internet speed meter hua inanionyesha mb nilizotumia),ghafla ma nyan'gau wakatuna msg Mb zangu zimeisha.Mkuu haya majuto nilidhan yananikuta mm tu,, coz asubuh hii nimenunua vocha ya hero nkajiunga MB 100 nimeanza kuperuzi tu Opr/min naambiwa zimebaki MB 58
Hawa voda ni wezi aisee
Jaribu kuangalia matumizi yako mwenyeweWazee nimeanza kutumia voda baada ya kuchoshwa na spidi ya kobe toka halotel ila awa voda yani spidi yao iko fasta lakin bando halikai yani fasta tu limeisha
Tatizo nini?
Kosa lako unafokea Vodacom kuwa mpole unapotuma hela unatakiwa uhakiki kwanza wewe unatwanga tu zikishaenda ndio unajua imefungiwa au imekosewa??MUHAMALA WANGU WA REFERENCE NUMBER 7DS23N58W9C SASA UNAENDA WIKI YA PILI SASA KILA NIKIPIGA SIMU NAAMBIWA NDANI YA MAASAA 48 UTARUDI LAKINI HAURUDI. HUU SIO UWIZI . JEE NISIPO PIGA SIMU HELA NDIO HAIRUDI NA INAENDA KWA NANI. ??
HII SIO SAWA KABISA