Vodacom Tanzania mbona nikijaribu kukopa hela MPAWA naanbiwe nikapeleke vitambulisho vyangu ofisi zenu wakati nimeenda mara mbili kujisajili na mpawa, ila mnazingua kunikopesha na kila siku mnanitumia text za kiwango ninichoruhusiwa kukopa cjui tatizo nini, my namba ni 0757915043
Vodacom Tanzania mbona nikijaribu kukopa hela MPAWA naanbiwe nikapeleke vitambulisho vyangu ofisi zenu wakati nimeenda mara mbili kujisajili na mpawa, ila mnazingua kunikopesha na kila siku mnanitumia text za kiwango ninichoruhusiwa kukopa cjui tatizo nini, my namba ni 0757915043
Good morning Vodacom Tanzania, nataka kujua mnafanya roaming na nchi gani za Afrika mashariki? Ninataka kutembelea Rwanda, Burundi na Uganda hivyo itakuwa busara zaidi nikijua ni wapi niendelee kujidai na Vodacom na ni wapi nikanunue sim card?
Ok!! Kama hapokei simu. Mnanisaidia je??
Maana Nina vielelezo vyote vya muhmu.
Habari, hili limekwishachukuliwa hatua na kuna mhudumu mwingine.Poleni sanaVodacom pale makao makuu mawakala wakuu na mawakala mnatutesa sana mfano kuna mdogo wangu amepoteza lain ya uwakala akaambiwa na wakala mkuu atafute loss report kopi ya tin leseni ya biashara amejaza form anasubiri kurenew line(swap)mwezi sasssa na hajui itatoka lini kuna dada hapo anayedil nazo ni hovyo kabisa huduma inachelewa sana kabla yake ilikuwa inachukua siku 3 tu,ulizeni mawakala wenu wakuu na mawakala watawaambia ngoja niisshie hapa maana watanzania ukisema watakwambia una wivu wa kike
Jaman Vodacom, tujbuni basi shida zetu?? Maana mmeweka hi biashara tuseme matatizo yetu.lakin chakushangaza hamtupi majibu ya kurithisha. Tafathalin sana jitahidin. Watu wanaotoa kero zao,inawauma jaman. Acheni hyo mambo
Hawa jamaa kwa kweli wizi wao ni nje nje tena bila aibu!Mm.mwenyewe wameniibia vya kutosha!nimelalamika mpaka nimechoka,nilichofanya ni kuamia G smile na Airtel!Vodacom ni shiida..!wezi sana!
Pole sana Mtalii, huduma iko sawa kwa sasa mkuu.Kwakweli voda sasa hivi mnakera. Siku nne mfululizo nimekuwa nikinunua salio kupitia M-Pesa inachukua hadi masaa manne kujibiwa. Acheni uhuni huo
Habari Mjasiriamali1 tungependa uliweke vizuri suala lako tuweze kusaidiana vyema. Lakini endapo unamaanisha salio linapungua ilhali na kifurushi cha Data, SMS na Dakika tafadhali tutumie namba ya simu kwa msaada zaidi. AhsanteWezi sana hawa. Ukiweka vocha asubuhi huikuti. Ukisubscribe bundle dk. Unatumia sms kuna salio lako la bundle limekwisha. Mdau lole ungewashitaki kbsa wakulipe. hawa wezi wakubwa.
Ahsante kwa mrejesho sylvester cassian suala hili limekwishafikishwa idara husika mkuu. ShukraniVodacom nyie mbona mmetoa my no 1 jaman tynateseka murudishe bwana