Nimekuwa nikipata shida kufahamu kampuni gani ya simu ambayo inafanya vyema kwasasa katika Telecommunication Industry kati ya VODACOM,AIRTELL NA TIGO...Naomba mwenye sufficient and reliable data atupatie hapa wanaJF...Natamani kufanya Acedemic research juu ya haya makampuni matatu........