Vodacom tunaomba mfanye marekebisho kwenye commission

nimeku PM
 
Daah kweli aisee wanazingua sana ila mwisho wa siku lazima watumbue mawala wengine wanategemea kazi hio hio kuendesha familia zao
 
Jamaa kawachota sana
 
Hii biashara ya kiseng...watu hawajui tu...lakini tunakomaa nayo tu..heheheeh
 
Nimemwambia wife aachaane na hiyo biashara kichaa hasikii
Biashara kichaa uwakala? kazi inayoweza kukupa 2M kwa mwezi

kwa kugusa gusa tu simu hapo mtu kaingia kazini saa 4 asubuhi kafunga 8pm

na hiyo 2m ushalipa mfanyakazi chake,ushatoa kodi ya eneo na bado 2m imesimama

unaweza iita hiyo kazi "biashara kichaa" mkuu kuwa serious bana achaga matan ya ngumi...
 
Jana mteja m-pesa katoa 300,000/= commission nikapata 1,100/= na apo alikatwa 10,000/= gharama ya kutoa.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Yaani hujajua kuwa wewe u kibarua wao mkuu.

Iko Ivi kazi ya kutumia brain inathaminika kuliko manual work mkuu.kiufupi unachimba mtaro mkubwa unalipwa 8000 kwa siku.aliyekuelekeza chimba saizi hii analipwa laki 2 kwa siku.
So waza sana.kiukweli voda Wanabana Sana kamisheni.
Pia makato pia ni makubwa kisa wametangulia wao Ila soon itaporomka.
Natabiri
 
Pole sana
 
Mkuu upoo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…