jacspyro
Member
- Jun 12, 2015
- 90
- 81
Programmer wa Vodacom upande wa m pesa mnaonaje mkatuletea menu ya kuweka pesa iwe Kama kibubu.
Yani muweke mfumo mteja awe na uwezo wa kutengeneza account ya muda fulani Kama ilivyo "m-pesa master card" Kisha aweze kuchagua muda wa hiyo account aliyoitengeneza (mwezi,miezi, nusu mwaka au zaidi).
Akisha itengeneza inakua ni ya kuweka pesa tu na isiwezekane kuitoa mpaka muda aliyouanisha mteja utimie, kama ni mwezi/miezi/au mwaka ndio iwe na uwezo wa kutoa pesa.
Mnaweza mkaiita hiyo menu ndani ya m pesa kama KIBUBU-PESA sio mbaya.
Ni wazo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app