mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
kwa watu wote wanaotumia modem kupata internet, amekuwepo ujanja ujanja wa vodafone kuchelewesha kujiunga baada ya kujisajiri , au wakati mwingine message za kukubaliwa haziji kabisa au zinakuja kesho yake wakati ulishakata tamaa, niliwahi kuongea nao kila saa wanasema message pending baadaye ukianza kutumia wanakujibu kuwa una hela ya kutosha kujiunga na bando au wanasema umejisajiri mara nyingi, mimi ni mtumiaji karibu miezi tano sasa wanajifanya kunifundisha wakati najua wanachofanya kwa kuwa angalau mambo ya It nayajua kwa kiwango kikubwa
vodacom/vodafone acheeeeeeeeni wiziwa bando
Mkuu mimi nilishaachana nao siku nyingi nilishagundua hayo magumashi, nimenunua EVDO Modem ya TTCL wameniunganisha na Banjuka, aisee acha kabisa, speed ya ukweli, no outage yani ni fasta na raha. Changamoto yao ni coverage tu lakini TTCL ni best of all na sio wevi kama voda, tigo, zain na zantelkwa watu wote wanaotumia modem kupata internet, amekuwepo ujanja ujanja wa vodafone kuchelewesha kujiunga baada ya kujisajiri , au wakati mwingine message za kukubaliwa haziji kabisa au zinakuja kesho yake wakati ulishakata tamaa, niliwahi kuongea nao kila saa wanasema message pending baadaye ukianza kutumia wanakujibu kuwa una hela ya kutosha kujiunga na bando au wanasema umejisajiri mara nyingi, mimi ni mtumiaji karibu miezi tano sasa wanajifanya kunifundisha wakati najua wanachofanya kwa kuwa angalau mambo ya It nayajua kwa kiwango kikubwa
vodacom/vodafone acheeeeeeeeni wiziwa bando
Mkuu hapo penye red, nakushauri fuatilia maana ya penetration strategy na nini hufanyika ili ufanikishe hiyo strategy as far as marketing & sales is concernedMimi natumia Zantel, huku nako ni ujanjaujanja tu unatumika. Kuna hiyo kitu wanaita Highlife package, masharti yake yamefichika fichika yaani wizi mtupu.
Nilikuwa nawashangaa watu wanaochakachua sasa nimeanza elewa kumbe ni hizi kero.
Wanaotumia tigo wameniambia wanafurahia, naomba mnijulishe kama naweza tumia modem ile ile ya zantel kuunganishwa na tigo, aina yake ni ZTE.
Wizi Jazz Bandkaka mimi pia ni mtumiaji wa Vodacom Internet Bundle ya mwezi mzima na nimekuwa na tatizo hilo hilo kila ninapomaliza package yangu na kujiunga tena, niliwafuata ofisini ili nijue sababu nikagundua kwamba line za Vodacom za zamani zina matatizo katika Database yao ya Internet na hivyo request huchelewa kuwa processed. nimenunua line nyingine wiki iliyopita na tatizo limeisha...Jaribu kufanya hivyo naamini itakusaidia na wewe...