Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
WanaJF
Naomba msaada wenu
Nataka kujua ni kitu gani kimejificha hapo Vcom na CCM
Kabla ya kampeni mji mzima wa DSM ulikuwa umejaa matangazo ya VODACOM
uchaguzi ulipoanza matangazo yote yakapotea mabango ya CCM yakapandishwa
Uchaguzi ulipoisha mabago ya VODA yakapanda tena MFANO mzuri BARABARA ya SAMNOJOMA to ubungo. IS vodacom part of CCM? is ccm part of VOdacom?
Simple, Huwezi kufanya biashara TZ kama upo against CCM - Forget my broda.
Kwa ukongwe wako sikutegemea na swali kama hilo wakati kutka kwako ufafanuzi wa Voda na CCM ulisha letwa na wana jamvi mara nyingi sanaaaaaaaaaaa.....kifupi RA inasemekana ana hisa nyingi sana au unaweza sema Vodacom Tanzania ni Ya Rostam AzizWanaJF
Naomba msaada wenu
Nataka kujua ni kitu gani kimejificha hapo Vcom na CCM
Kabla ya kampeni mji mzima wa DSM ulikuwa umejaa matangazo ya VODACOM
uchaguzi ulipoanza matangazo yote yakapotea mabango ya CCM yakapandishwa
Uchaguzi ulipoisha mabago ya VODA yakapanda tena MFANO mzuri BARABARA ya SAMNOJOMA to ubungo. IS vodacom part of CCM? is ccm part of VOdacom?
Na kweli............hata wale wauza vitanda pale viwanja vya biafra walishawahi kutishiwa kutimuliwa baada ya kuonekana wanashabikia kilichokuwa chama cha upinzani wakati huo...CUF.......... baada vitisho tu wakapandisha bendera ya CCM..wakawa shwari hadi leo.si wote wanaopeperusha bendera za chama hicho maeneo yao ni wanachama au wapenzi; ni maslahi ya kibiashara na hasa woga juu ya tra.