lara 1 ni kama advocate ,anaweza kutetea jambazi akaonekana hana hatia na akamkandamiza mwenye haki akaonekana ni mwenye hatia ,ilike it nawe toa point zako kumpinga sio mwanaume mzima unajitetea kwa vimstari viwiliWewe umefaidika na nini!!!
Mliona diamond kafaidi sana sio!!!
Point zanini kama unakiri kuwa huyo ni Mnafikilara 1 ni kama advocate ,anaweza kutetea jambazi akaonekana hana hatia na akamkandamiza mwenye haki akaonekana ni mwenye hatia ,ilike it nawe toa point zako kumpinga sio mwanaume mzima unajitetea kwa vimstari viwili
Wanamuonea huyu Muha.Wewe umefaidika na nini!!!
Mliona diamond kafaidi sana sio!!!
Diamond hajaondolewa
Diamond dili lake lilikuwa kutangaza ile issue ya deile
Hili la Bando Diamond hahusiki na ndo maana hayo mabango ya dabo bando kwa mpesa yalikuwepo kabla huyu hajasema kitu
Acha nipite nami nishuhudie nadhan pia Lara 1 kutetea hoja yake vilivyo kwa herufi kubwa imembeba pia
Nipe link ya kusoma kisa chenyewe sijui kitu hapoOn serious note supposedly ningeenda mbele hamuoni INGEKUWA MAMBO YA AIBU SANAA SANAA KWA GLOBAL BRAND KAMA ILE KUWA NA FUGITIVE MWENYE CHARGES KAMA ZILE TENA RB IKO VALID NA MEDICAL REPORT.
INGEKUWA AIBU YA MWAKA.
CHA KUJIFUNZA NI KUWA ANYBODY CAN MAKE A DIFFERENCE AS LONG AS ASIMAME KWENYE UKWELI NA MAADILI.
BINAFSI NIMEJIFUNZA JAMIIFORUMS IS BEYOND POWERFULL MEDIA.
Duuh kweli nyie mambulula...hamjui voda ni kampuni kubwa na ina campaigns/promotions mbalimbali?...Sasa hivi dabo bando ndo habari ya mjini kwahiyo wanaipromote acheni ujinga wa lara 1 sijui nani. ..jiongezeni
Nipe link ya kusoma kisa chenyewe sijui kitu hapo