Vodacom wako vizuri kwenye MasterCard yao

Vodacom wako vizuri kwenye MasterCard yao

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Very smooth, hakuna usumbufu kama baadhi ya mitandao yao. Nimeitumia sana kufanya online purchases na hata Leo nimefanya transaction online. By the way kwa wanunuaji wenzangu wa mitandaoni, naona AliExpress wako vizuri kuliko Alibaba au Kikuu in terms of product quality, price pia na uharaka wa kutuma mizigo. (Most of the sellers kwa AliExpress wanafanya free shipping to TZ).View attachment 1959157View attachment 1959158View attachment 1959159
Screenshot_2021-10-01-10-44-02-89_57e717c094f371a1dada6567a1123b99.jpg
 
Very smooth, hakuna usumbufu kama baadhi ya mitandao yao. Nimeitumia sana kufanya online purchases na hata Leo nimefanya transaction online. By the way kwa wanunuaji wenzangu wa mitandaoni, naona AliExpress wako vizuri kuliko Alibaba au Kikuu in terms of product quality, price pia na uharaka wa kutuma mizigo. (Most of the sellers kwa AliExpress wanafanya free shipping to TZ).View attachment 1959157View attachment 1959158View attachment 1959159View attachment 1959160
sema kutumia alibaba hauwezi

alibaba wapo fasta kuzidi aliexpress

na alibaba tambua kwanza ni jumla kule
 
sema kutumia alibaba hauwezi

alibaba wapo fasta kuzidi aliexpress

na alibaba tambua kwanza ni jumla kule
Usiseme siwezi, ongelea nafsi yako mkuu and by the way alibaba sio kwamba Ni jumla sema MOQ inatofautiana Kati ha seller na seller
 
mi nahis alibaba wameniteka kuliko aliexpress

coz siagizagi kitu kimoja ni vingi

na now kuna ndege yetu kule inaendaga

mzigo siku moja tu upo bongo
Sema hivyo mkuu, lakini swala la kuuza vitu kwa ujumla sio sahihi. Pia kwa sie ambao sio resellers, hua hatununui mara nyingi bidhaa in bulk
Screenshot_2021-10-01-16-57-41-67_a04944f99a062af0791c9039e89fa6b9.jpg
Screenshot_2021-10-01-16-56-29-43_a04944f99a062af0791c9039e89fa6b9.jpg
 
mda mwingine mbele wanaandikaga 1 pcs ukiingia ndani kuchati naye unakutana na bei tofauti na idadi tofauti
 
Very smooth, hakuna usumbufu kama baadhi ya mitandao yao. Nimeitumia sana kufanya online purchases na hata Leo nimefanya transaction online. By the way kwa wanunuaji wenzangu wa mitandaoni, naona AliExpress wako vizuri kuliko Alibaba au Kikuu in terms of product quality, price pia na uharaka wa kutuma mizigo. (Most of the sellers kwa AliExpress wanafanya free shipping to TZ).View attachment 1959157View attachment 1959158View attachment 1959159View attachment 1959160
Napenda zaidi ya airtel maana salio lako la airtel money ndo hilo hilo salio la mastercard.
 
Back
Top Bottom