donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
sema kutumia alibaba hauweziVery smooth, hakuna usumbufu kama baadhi ya mitandao yao. Nimeitumia sana kufanya online purchases na hata Leo nimefanya transaction online. By the way kwa wanunuaji wenzangu wa mitandaoni, naona AliExpress wako vizuri kuliko Alibaba au Kikuu in terms of product quality, price pia na uharaka wa kutuma mizigo. (Most of the sellers kwa AliExpress wanafanya free shipping to TZ).View attachment 1959157View attachment 1959158View attachment 1959159View attachment 1959160
Sahihi mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana mkuu, toi ya kuchezeaWapo vizuri, siku hizi wamejiongeza sana kwenye upande wa reliability....naona umenunua kifaa cha kazi [emoji102][emoji2731]
Usiseme siwezi, ongelea nafsi yako mkuu and by the way alibaba sio kwamba Ni jumla sema MOQ inatofautiana Kati ha seller na sellersema kutumia alibaba hauwezi
alibaba wapo fasta kuzidi aliexpress
na alibaba tambua kwanza ni jumla kule
mi nahis alibaba wameniteka kuliko aliexpressUsiseme siwezi, ongelea nafsi yako mkuu and by the way alibaba sio kwamba Ni jumla sema MOQ inatofautiana Kati ha seller na seller
Sema hivyo mkuu, lakini swala la kuuza vitu kwa ujumla sio sahihi. Pia kwa sie ambao sio resellers, hua hatununui mara nyingi bidhaa in bulkmi nahis alibaba wameniteka kuliko aliexpress
coz siagizagi kitu kimoja ni vingi
na now kuna ndege yetu kule inaendaga
mzigo siku moja tu upo bongo
Yes, it happens sometimesmda mwingine mbele wanaandikaga 1 pcs ukiingia ndani kuchati naye unakutana na bei tofauti na idadi tofauti
Napenda zaidi ya airtel maana salio lako la airtel money ndo hilo hilo salio la mastercard.Very smooth, hakuna usumbufu kama baadhi ya mitandao yao. Nimeitumia sana kufanya online purchases na hata Leo nimefanya transaction online. By the way kwa wanunuaji wenzangu wa mitandaoni, naona AliExpress wako vizuri kuliko Alibaba au Kikuu in terms of product quality, price pia na uharaka wa kutuma mizigo. (Most of the sellers kwa AliExpress wanafanya free shipping to TZ).View attachment 1959157View attachment 1959158View attachment 1959159View attachment 1959160
Oooh hapo wamewacheba kwa kweliNapenda zaidi ya airtel maana salio lako la airtel money ndo hilo hilo salio la mastercard.
Noma [emoji3]Wapo vizuri, siku hizi wamejiongeza sana kwenye upande wa reliability....naona umenunua kifaa cha kazi [emoji102][emoji2731]
SwadaktaNi kweli kabisa...