Mimi nawashangaa vodacom. Waliwahi sana kuanzisha huduma za mpesa na waka-train mawakala nchi nzima kwa gharama kubwa. Sasa ilikuwakuwaje wakaruhusu kampuni zingine za mitandao kutumia mawakala hao hao wa vodacom kuhudumia tigo pesa, airtel na zantel?. Au mimi sielewi agency law? Kwa kweli mimi naona wamechemsha kwa sababu wanapoteza market share yao kwa kasi kubwa.