jana mchana nineingiza salio kwenye simu yangu line ya vodacom tzs 1,000/= baada ya saa moja nikatumiwa ujumbe wa simu kuwa nimeingizwa kwenye bahati nasibu ya tzs 11,000,000/= na wakakata tzs 550/= toka kwenye salio langu ili hali sijatuma ujumbe wowote wa kuhitaji kucheza bahati nasibu yao hiyo. Jamani huo si wizi? Iliniuma sana.