Vodacom wamevujisha taarifa zangu(?) - Kuweni makini na matumizi yenu ya Simu

Status
Not open for further replies.
Mzee umeniwahi, na mimi swali langu lilikuwa hili
Yeye fundi anadai amepewa mawasiliano yako na nani? Tuanzie hapo.

Otherwise sioni faida yoyote kwa vodacom tanzania kwa kukutafutia wewe fundi maana wao sio madalali.
 
Why isiwe Vodacom?
 
Voda hawawezi fanya kioja kama hicho nakataa
 
Hujamuuliza aliagizwa na nani? Na ulichukua hatua gani zaidi? Yawezekana hata vodacom hawahusiki ndio maana wamekujibu hivyo
 
yani voda wavujishe taarifa kwa fundi umeme ili wapate gawio la posho ama...!? hahaaahaaaaaa
Yeye fundi anadai amepewa mawasiliano yako na nani? Tuanzie hapo.

Otherwise sioni faida yoyote kwa vodacom tanzania kwa kukutafutia wewe fundi maana wao sio madalali.
Mbona hamuelewi?
Sio kampuni nzima ya voda, bali mfanyakazi mmoja tu asie mwaminifu
 
True that
 
Usipende sana kuhukumu kabla ya uchunguzi.
Angalie usijekugeuziwa kibano.
JF sio sehemu salama sana kutapika uchachu.
 
namba yako ya simu kuna mtu kahihack na upaswi kulaumu voda hapo
 
Sasa taarifa za fundi umeme ndo za kuja kulia liaa hapaa...??? Mumbwaa kabisaa
Taarifa yoyote ina thamani kubwa. Taarifa ni rasilimali. Kama leo ameweza kupata mchongo wa ufundi umeme, siku nyingine atapata taarifa ya nini? Hakuna taarifa ndogo.
 
Hili swala nilikutana nalo siku moja, nilienda kuweka pesa Mpesa wakala elfu 20 mara tu baada ya dk 20 nikapigiwa simu na mtu nisiye mjua ananiambia nimeka pesa hvyo nimejishindia kiasi fulani cha pesa.

Akaniuliza nimeweka kiasi gani na kwenye acc kuna kiasi gan? Nikapata wasiwasi nikamwambia endelea.

Kwa jinsi nilivyokuwa namjibu kwa ufupi badae nikamwambia chautapeli akanijibu atakula wapi hiyo ndyo kazi yake.
 
"alinijibu tuu kwa kifupi kuwa wao hawana uwezo wa kuona taarifa za mtumiaji wa mtandao wao"
Amekujibu vizuri sana na hilo ndio jibu lako.
 
Nawaruhusu voda wavujishe taarifa zangu kwa mtu yoyote isipokuwa kwa WALE WATEKAJI NA WAUAJI WA KIJITONYAMA...sasa wewe kama voda wamekutafutia fundi umeme kuna shida gani???!!! ( in mzee meko's voice), siku ukiumwa watakutafutia ambulance...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…