Vodacom wanaanza kuwa matapeli!!!

Vodacom wanaanza kuwa matapeli!!!

Forgotten

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,518
Reaction score
10,839
Haiwezekani nalipia kifurushi cha unlimited halafu mtandao wao siku nzima napata nusu ya Mbps nilizolipia. Yaani, katika masaa 24 hayazidi 7 ndiyo masaa pekee ninayopata kasi kamili niliyolipia, kwenye download & upload.

Wana-JF mnaotumia huduma hii ya Vodacom: Je, mnapata changamoto hii pia?
 
Hao ni matapeli muda mrefu ila walizid pale kodi zilivyoongezeka kwenye vifurushii
 
Back
Top Bottom