Vodacom wanavyonitesa na kuonekana tapeli

Vodacom wanavyonitesa na kuonekana tapeli

kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
2,571
Reaction score
1,760
Ndugu Wasalam,

Nimekua mteja wa kununua bidhaa mtandaoni mara kwa mara na mzigo wangu wa mwisho nimelipa kwa Mpesa MasterCard.

Lakini Vodacom wameng'ang'ania hela yangu niliyoweka Mpesa MasterCard kumbe Card ime expire ila wao wakakubili pesa iingie nilipojaribu kuitoa IMEGOMA.

Kinachoniuma nimetumia nguvu kubwa kuwatafuta wateja leo Vodacom anakuja kuniharibia Biashara yangu kwa kushikilia pesa yangu leo siku ya nne.

Nimewapigia simu customer service wao wanajibu as if wao sio responsible Eti watoa huduma wanalishughulikia leo siku ya nne.

Naomba yeyote anaeweza kunisaidia njia nyingine yoyote ili niweze kuirudisha hiyo pesa.
 
Usijali watakuja mkuu wenye maujuzi yao ila pole sana.
 
Back
Top Bottom