Wataalamu wanasema bei yake iko juu kulinganisha na telecoms zengine za Africa, pia Voda sio rahisi kuonyesha ukuaji wa biashara katika stage hii iliyofikia ni namba moja tayari na ushindani ni mkali sana.mkuuu ushauriwa wa wengi unasemaje ?kuhusu hizi hisa za vodacom? kwani nataka kununua nyingi tu..kama 10m..nipeni ushauri..
Wamefanya jambo la maana sana kuongeza muda aisee...maana itatufanya wengi kuweza kuwekeza na kununua hisa zao kwa wingi na kuweza kuumiliki na kuwa sehemu ya kampuni.viva vodacomTaarifa: Vodacom Tanzania wameongeza muda wa zoezi la kuuza hisa kwa kipindi cha wiki tatu(3) hadi kufikia tarehe 11/05/2019.
Hii itawawezesha Makundi,taasisi na watu mbalimbali walioomba kuongezwa kwa muda, kupata nafasi ya kununua hisa za kampuni ya Vodacom Tanzania.
Hii itawawezesha Makundi,taasisi na watu mbalimbali walioomba kuongezwa kwa muda, kupata nafasi ya kununua hisa za kampuni ya Vodacom Tanzania.Wamefanya jambo la maana sana kuongeza muda aisee...maana itatufanya wengi kuweza kuwekeza na kununua hisa zao kwa wingi na kuweza kuumiliki na kuwa sehemu ya kampuni.viva vodacom
Elimu unaipata darani mkuu.Kuongeza Muda wa kununua hisa kuambatane na kutolewa kwa elimu kwa watu wengine mikoani maana wanatamani pia kupata fursa hii kutoka kampuni kubwa ya Vodacom.