Vodacom yajitoa miss Tanzania

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
Naona wamejitoa Miss Tanzania sasa mashindano yatadhaminiwa na kampuni ya pombe

huu ni ushindi kwa nani?
 
Kitambooooooooo wamejitoa!!!! Anko imekula kwake voda wamefulia nini?
 
hawajafulia kulikuwa kuna ujanja janja unafanyika kati ya maafisa wa vodacom na lino agency sasa huyu md mpya kashtuka anasema hataki sponsorship za ajabu ajabu kaanza na miss tanzania wengine wanafuata
 
hawajafulia kulikuwa kuna ujanja janja unafanyika kati ya maafisa wa vodacom na lino agency sasa huyu md mpya kashtuka anasema hataki sponsorship za ajabu ajabu kaanza na miss tanzania wengine wanafuata

Du hatari kumbe,nilijua wizi ni sirikalin kumbe hata huko kuna mafisadi? Khaaa!
 
kama kuna ukweli ni vizuri kujitoa kwani unadhamini watu ambao hawalisaidii taifa kwa lolote zidi ya kuendekeza ufuska its time watu now badala ya kudhamini ****** huu wakadhamini mashindano ya wanafunzi na elimu na kujikita kwenye huduma za kijamii zaidi.
 
Wajitoe tu , warembo wenyewe wanaoshindishwa grade E, wanaishia kutuaibisha tu huko duniani...
 
Mie nilishangaa walipodhamini miaka mingi vile, nilijua wakifanya mbili wataacha, au yule md mpenda videmu alipoondoka, anyway it had to happen, hongereni voda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…