Vodacom yaomba radhi kutokana na changamoto ya mtandao inayoendelea, wanashughulikia kumaliza tatizo

Vodacom yaomba radhi kutokana na changamoto ya mtandao inayoendelea, wanashughulikia kumaliza tatizo

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

====

TAARIFA KWA UMMA

Septemba 28, 2024Mpendwa Mteja, Tunaomba radhi kwa changamoto za mtandao kwa sasa inayosababisha wateja wengi kushindwa kupata huduma. Timu yetu ya wahandisi inajitahidi kusuluhisha kwa haraka iwezekanavyo. Tunaomba radhi kwa usumbufu na tunashukuru kwa uvumilivu wako. Taarifa zaidi zitafuata hivi karibuni.

Usimamizi Vodacom
Tanzania

IMG_20240928_214540_924.jpg


Pia soma: Mtandao wa VodaCom ukoje huko kwenu?
 
Nishazima na kuwasha simu kama nini kumbe shida ni ya kwao .....shssssssssshsh
 
Naona wametumia airtel kupost kwenye group lao
 
Aliyepost anatumia zake mtandao wa tigo safi sana
 
Back
Top Bottom