Septemba 28, 2024Mpendwa Mteja, Tunaomba radhi kwa changamoto za mtandao kwa sasa inayosababisha wateja wengi kushindwa kupata huduma. Timu yetu ya wahandisi inajitahidi kusuluhisha kwa haraka iwezekanavyo. Tunaomba radhi kwa usumbufu na tunashukuru kwa uvumilivu wako. Taarifa zaidi zitafuata hivi karibuni.
Itabidi kilq mmoja apate angalau GB moja moja kulingana matumizi yakw ya Mb kwa siku ili kufidia bqndo zilizoisha bila kutumika.Hapo msamaha utakuwa rahisi kupokelewa