johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Pamoja na kelele za hapa na pale za wanasiasa Vodacom wanazidi kusonga mbele na sasa wamepunguza gharama za matumizi ya simu na mitandao
Hongereni wateja wa Vodacom!
Pamoja na kelele za hapa na pale za wanasiasa Vodacom wanazidi kusonga mbele na sasa wamepunguza gharama za matumizi ya simu na mitandao
Hongereni wateja wa Vodacom!
Wakati Watanzania 20 mnawakimbia voda,Watanzania 200 wanasajili lain za voda. USIKU MWEMA.
Hata wakati tunikimbia tbc1 mliokuwa mnasema hivyohivyo.Kesho nitahakikisha watu 20 wanavunja line za voda nitatupia picha mchanaWakati Watanzania 20 mnawakimbia voda,Watanzania 200 wanasajili lain za voda.
USIKU MWEMA.
BREAKING NEWS.....
Na Bollen Ngetti
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM Hamphrey Polepole amebwaga manyanga kufuatia kutokubaliana na Kamati Kuu ya chama hicho kumrejesha chamani Waziri Mkuu Mjiuzulu Edward Lowassa na Mmiliki wa Vodacom 30% Rostam Aziz. Jitihada za kumbembeleza zinaendelea Great Wall Restaurant sasa. Tukiombee chama chetu tunapita katika moto.
#AchaWoga2020
[emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562]
Leo ni ajabu kuandika thread bila kuitaja Chadema wala Mbowe, nilitegemea utamalizia na wabunge wa Chadema wapinga punguzo, hahaa.Pamoja na kelele za hapa na pale za wanasiasa Vodacom wanazidi kusonga mbele na sasa wamepunguza gharama za matumizi ya simu na mitandao
Hongereni wateja wa Vodacom!