Vodacom yapunguza gharama kwa wateja wake

Pamoja na kelele za hapa na pale za wanasiasa Vodacom wanazidi kusonga mbele na sasa wamepunguza gharama za matumizi ya simu na mitandao

Hongereni wateja wa Vodacom!

Kelele zinasaida wao kupunguza!

Na effect wataiona zaidi na zaidi!

Mwananchi mnyonge ndio boss wa hii nchi na wala sio Jiwe!

Vodacom will learn this the hard way!

Fvck Vodacom through and through!
 
Hizi habari za facebook tutoleee huku
 
Polepole atakuwa kafunikwa na propaganda za Musiba😂😂😂
 
Pamoja na kelele za hapa na pale za wanasiasa Vodacom wanazidi kusonga mbele na sasa wamepunguza gharama za matumizi ya simu na mitandao

Hongereni wateja wa Vodacom!
Unajua mtu unaweza kuzaliwa na ujinga, lakini UZEMBE ni wakujitafutia mwenyewe. Naona mleta mada ameona manufaa yakuubeba uzembe na akaufanya mali yake. Hongera
 
Sijaelewa
 
Tunababaika bure. Ni bahati mbaya mnawatuhumu voda kwa sababu upper class yote inatumia voda. Ndio maana wamekutwa kwenye cross fire. Ingewekazana kabisa kutokea mtandao wowote. Ingekuwa Zanzibar zantel isingeponyoka.
Ni suala la busara tu. Mie sihami. Wamenisaidia kuhakikisha kuwa napiga simu kwa kuweka mihadi tu.
 
Leo ni ajabu kuandika thread bila kuitaja Chadema wala Mbowe, nilitegemea utamalizia na wabunge wa Chadema wapinga punguzo, hahaa.
Hahahaa....... Unapajua Igumbilo mkoani Iringa wewe!!!
 
Unaamika Mkuu umejijengea heshima tele humu. Kumbe ndiyo sababu alikuwa kimya kwenye msukumo wa wapumbavu kuwatusi Membe, Kinana na Makamba.

Wacha wavurugane wahuni hawa na mafisadi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…