Wakati Watanzania 20 mnawakimbia voda,Watanzania 200 wanasajili lain za voda.
USIKU MWEMA.
Kwani Kubenea na Komu mliwadukuaje hapo Ufipa?!!!
Nakumbuka kipindi kile alimwita lowassa ni malaya, ha ha ha eti malaya wa kisiasaBREAKING NEWS.....
Na Bollen Ngetti
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM Hamphrey Polepole amebwaga manyanga kufuatia kutokubaliana na Kamati Kuu ya chama hicho kumrejesha chamani Waziri Mkuu Mjiuzulu Edward Lowassa na Mmiliki wa Vodacom 30% Rostam Aziz. Jitihada za kumbembeleza zinaendelea Great Wall Restaurant sasa. Tukiombee chama chetu tunapita katika moto.
#AchaWoga2020
[emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562]
Field Mwanza ni mimi 😂😂Kwa mshahara gani nilionao?View attachment 1168799
Hivi na.mitandao mingine wana sim.banking? Vodacom kama waliniroga, lakini lazima.nihame hakuna.namnaPamoja na kelele za hapa na pale za wanasiasa Vodacom wanazidi kusonga mbele na sasa wamepunguza gharama za matumizi ya simu na mitandao
Hongereni wateja wa Vodacom!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Bei mpya hizi hapa.[emoji848]View attachment 1168813
My take: walkie talkie.Vodacom ni sawa na rediocall(talkie talkie)
Km wamepunguza sasa hv kwa akili ya kawaida ni kujaribu kuwafanya watu wasihame kufuata kampeni inayoendelea
Mimi nasuburi bundle liishe nihameAirtel
kauli mbiu ni hiiPamoja na kelele za hapa na pale za wanasiasa Vodacom wanazidi kusonga mbele na sasa wamepunguza gharama za matumizi ya simu na mitandao
Hongereni wateja wa Vodacom!
Hili naliandika kwa uchungu sana. Vodacom umekuwa mtandao wangu pendwa kwa takribani miaka 25. Nmefurahia huduma zao kwa kipindi chote na imenisaidia pia kwenye maisha yangu. Ila kwa hili la kumzimia Kabendera mawasiliano, hata kama wamepata maelekezo toka juu, walivuka viwango vya juu vya kuvunja utu. Vodacom wangeweza kutoa taarifa zingine zote walizoombwa ila sio kuzima mawasiliano; huu ni uuaji na hauwezi kuvumiliwa na binadamu yoyote aliye hai. Kwa sababu hiyo, nami kwa namba hii .....00565 nawaaga rasmi.Pamoja na kelele za hapa na pale za wanasiasa Vodacom wanazidi kusonga mbele na sasa wamepunguza gharama za matumizi ya simu na mitandao
Hongereni wateja wa Vodacom!
walkie talkieVodacom ni sawa na rediocall(talkie talkie)
Vodacom wajinga sana ,na sijui kama wana watu makin kwenye pricing ,hawana tofauti na mama n'tilie. Kuliko waangalie profit realised on the quantity sold ,wao wana-focus kwenye unit profit. Mm naona wanajiondoa kwenye biashara wenyewe. Nimetumia voda kwa zaidi ya miaka 10 lakin naelekea kuichoka. Hawana mikakati ya biashara endelevu, ni kama wapitaji au kesho wanaondoka. RIP VodacomPamoja na kelele za hapa na pale za wanasiasa Vodacom wanazidi kusonga mbele na sasa wamepunguza gharama za matumizi ya simu na mitandao
Hongereni wateja wa Vodacom!