Vodacom yapunguza gharama kwa wateja wake

Pamoja ma yote hayo, please elewa namba ya simu ni Mali yako siku hizi, fanya porting utabaki ma namba yako mtandao wowote unaotaka
 
Mimi voda sasa imebaki ya kupokea simu tu..na wanajua hilo nilimpigia costomer care nikamjulusha pia niliomba utaratibu wa kurudisha line yao.
 
Hivi na.mitandao mingine wana sim.banking? Vodacom kama waliniroga, lakini lazima.nihame hakuna.namna
Yes mkuu mimi nimeenda jana CRDB PLC na kubadili namba ya simbanking!
 

Hapo bado inawakomesha, maana yake utaounguza matumizi sana. Nakushauri hata miadi usiweke kwa sababu itatumika kujua ulikutana na nani.

Kwa sasa ni kutumia whatsap tu. Ndio kuna usalama kiasi kwa sababu ya end to end encryption.
 
Tangu wafungie Your Freedom VPN nimeazimia nitaitupa line yao
 
Watanzania rahisi sana kuwatawala ama kweli....
Wafuata mkumbo, bendera fuata upepo..
 
Wakati Watanzania 20 mnawakimbia voda,Watanzania 200 wanasajili lain za voda.
USIKU MWEMA.
Sema: Wakati Watanzania 20 wanaojielewa wanaikimbia Vodacom, Misukule 200 wanasajiri laini za Voda! Mtu anayejielewa hawezi kuingia Voda kwa sasa wakati hata kashifa za kutoa taarifa za mawasiliano kwa wateja wake hazijapoa! Na kwa bahati mzuri misukule mingi hata pesa yenyewe hawana!!
 
Ndugu,ujasiri wa kumuita binadamu mwenzako msukule unaupata wapi?
Yaani mtu anasajili lain ya voda kwa matumizi yake halafu wewe unamuita msukule kisa tu unaichukia voda?
Come on bro, try to respect your fellow humans.
 
Hata akiondoka hana madhara Ccm ni chama cha watu
 
Yani kwa mtanzania wa kawaida hasa kwa Wale wanao tumia sana Internet voda sio sehemu salama I mean wanao tumia GB 2 na kuendelea per day utajikuta umetumia Hela kubwa sana ....in short huu mtandao wa matajiri....rudi nyumbani kumenoga
 
Ndugu,ujasiri wa kumuita binadamu mwenzako msukule unaupata wapi?
Yaani mtu anasajili lain ya voda kwa matumizi yake halafu wewe unamuita msukule kisa tu unaichukia voda?
Come on bro, try to respect your fellow humans.
Of course ni misukule hususani kama wanafanya hivyo kwa tambo kwa kuona wanachokilalamikia watu ni upuuzi! Mtu anayejielewa hawezi kushabikia ushenzi unaofanywa na Vodacom na hauna justification yoyote! Kwamba eti wanatii mamlaka ni excuse ya kijinga kwa sababu issue iliyowaumbua VodaCom haina uhusiano na masuala ya kiusalama!! Ukichukulia akina Nape kwa mfano, the whole thing is purely politics! Dunia mzima minyukano ya kisiasa miongoni mwa wanachama wa chama kimoja ni jambo la kawaida na wala halina elements za kuvunja usalama wa nchi! Ukija issue ya Kabendera nalo ni jambo la kawaida kabisa! Sasa kampuni inatoa voice notes za watu waliokuwa wanazungumzia minyukano ya kisiasa ndani ya chama huo ni ukiukwaji mkubwa wa faragha za wateja, na wala sheria haiwalazimishi VodaCom kutii maagizo ya hovyo namna hiyo!! Lakini kwavile wanachojali ni biashara zao na sio maslahi ya wateja wao, ndo maana haishangazi kuona wanatoa taarifa kama hizo huku wakitokea wengine wakitetea kwamba eti wamelazimishwa!! Hawa wanatetea kwa sababu wanadhani wapo salama kwavile wanaunga juhudi huku wakisahau hata hao waliokumbwa na dhahama husika walikuwa ni key players kwenye kuunga mkono juhudi, lakini leo na wao ni main targets!!

Sasa nina haja gani ya ku-show respect kwa mtu asiyejielewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…