Vodacom yazindua duka la huduma kwa wateja Nungwi, Zanzibar

Vodacom yazindua duka la huduma kwa wateja Nungwi, Zanzibar

Blasio Kachuchu

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
366
Reaction score
243
DSC_6663.jpg

Kampuni ya Mawasiliano ya simu ya Vodacom imezindua duka jipya la huduma kwa wateja kata ya Nungwi, mkoa wa Kaskazini A, ikiwa ni hatua muhimu ya kutoa huduma bora za mawasiliano na bidhaa za kisasa kwa wakazi wa eneo hilo.

Duka hilo lilizinduliwa rasmi na Katibu Tawala wa mkoa wa Kaskazini A, Mariam Khamis, akishuhudiwa na mdau wa Vodacom Saleh Judas na Mkurugenzi wa Biashara wa kampuni hiyo Brigita Shirima. Uzinduzi ni hatua mojawapo ya Vodacom kupanua huduma zake visiwani humo ili kuendelea kutoa huduma bora zaidi.







 
Back
Top Bottom