Kuna rafiki yangu hayupo JF ila ameniomba nimuombee ushauri, yeye anamhisi mkewe ana mahusiano na mtu mwingine na wanawasiliana kwa simu, je akienda ofisi za vodacom watamsaidia kuchapisha meseji wanazochat ? nitangulize shukrani kwa msaada wenu tumuokoe ndugu yetu
Mwambie aache wivu wa kijinga
Amkune sawa sawa huyo mke wake ili aache kutoka na jamaa
inawezekana bt ni smtin illegal labda achonge deal na ppo pale kama kuna m2 namjua.Kuna rafiki yangu hayupo JF ila ameniomba nimuombee ushauri, yeye anamhisi mkewe ana mahusiano na mtu mwingine na wanawasiliana kwa simu, je akienda ofisi za vodacom watamsaidia kuchapisha meseji wanazochat ? nitangulize shukrani kwa msaada wenu tumuokoe ndugu yetu
namaanisha wamchapishie meseji zote mwanamke anazotuma na kutumiwa kwenye simu yake let say kwa last 6 month
Mwambie aache wivu wa kijinga
Amkune sawa sawa huyo mke wake ili aache kutoka na jamaa
Je kama ni mkwanja unamtoa nje?