Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!
Kuna tofauti kubwa sana kati ya hizi companies 2
Leo ukitaka kuswapu line ya Mpesa itakuchukua takribani miezi 3 au 4 ila tigo siku hiyo hiyo ili mredi wamethibitisha pasipo shaka wewe ndio mmiliki wa line husika iliyopotea.
Vodacom inapendwa na wazeee ila Tigo inapendwa na new generation.
Vodacom imeenetu nchini kwasababu ndio company ya kwanza kuingia nchi,ndio maana wateja wake wengi ni wale wazee wa zamani ila kwa new generation hawananafasi.
Vodacom Gharama za internet zipo juu kulimo Tigo. Customers care ya tigo ni nzuri kuliko vodacom.
Gharama za miamala kwenye tigo wanakata kidogo kuliko vodacom. Vodacom ni bora kwenye internet tu,huduma ambaya ni kama anasa kwa tabaka lingine. Tuangalie hizi huduma zinazogusa wa wengi na wachini kabisa.
Karibu kwa maoni