Voices from Within: Kama Moja ya Sababu za Kuitwa Kwake ni Udhalimu, Aliyemfuatia Akifanya Udhalimu, na Yeye Pia ...

pasi ziwe fupi fupi wana bodi
 
Karma is real Mkuu.
kuna jambo likitokea ndani ya familia mfano mtu akajinyonga msipotafuta namna ya kuondoa hili litawasumbua sana. Hii ni Inheritance of the Worse, the only option ni kuondoa nguvu mbaya ndani ya nyumba otherwise utapitia matukio yale yale lengo upitie mlango ule ule.
 
Nakuwekea na picha Umesahau
 
M7, lukashenko, netanyahu wamekaa madarakaninmida mrefu sana na bado wapo madarakani
 
Jamani, mimi kila siku nasisitiza; kutwaliwa kwa yule dhalimu that was once in a lifetime chance, haitokaa ijirudie tena.

Sisi tupambane nae tu, lakini kutegemea kutwaliwa ni kujidanganya.
Kutwaliwa, kutwa kutwaliwa, dakika Moja mbele hujui linalokukuta, unatwaliwa wewe, na hujui kama umetwaliwa!!! Na hujui kuwa, wish yako ilikuwa wengine watwaliwe ila sio wewe
 
Imani tuu, na Imani ni kuamini, nothing More
 
Ni ngumu sana kuelewa hili bandiko na hiyo " four years fighting for food" yako ya shule za kata
 
M7, lukashenko, netanyahu wamekaa madarakaninmida mrefu sana na bado wapo madarakani
Tanzania kila mtu amechanganyikiwa na mbaya zaid hakuna anayejua kuwa kuchanganyikiwa!!!
Kifo hakijawahi kuwa solutions ya shida nyingi zetu, ndo maana vitani watu wanakufa na wengine wanakuja kuendeleza!!!
Kutegemea kifo kuwa solutions ndo Ile ya magu mara akaja mama, naye wanaombea afe, atakuja mwengine naye ataombewa kufa!!! Haitakuwa mwisho!!!
 
Naam, tunataka movement soft soft, tutakwama tu
 
It's too late, hata wakirudi nyuma wameshaharibu.Tunasubiri condom kuvaliwa nusu mlingoti ,ndio adhabu waliyojichagulia
Tanzania ni taifa teule la Mungu sio la kwao.
 
Hii ni too late! Point iliyoko nikuwa hakuna kurudi hata kama nimekosea njia yaan mbele kwa mbele. Ndivyo asili ya binadamu tulivyo. Hata kama nikijua kosa lililokugharimu bado nitasema hiyo ni mayala mimi nina njia zangu amean kibri
 
Endeleeni kupiga hiyo misumari wanaoonewa wakimwachia Mungu uone hiyo karma. Afadhali upate malipo mapema kuliko yale ya kuchelewa ambayo Huwa yanaenda hadi kwa vitukuu. Karma haichelewi wala kuwahi. Anyway, jibidishe kidogo kusoma viongozi wengine na usitegemee propaganda za nchi moja kwa nyingine.
 
It's too late, hata wakirudi nyuma wameshaharibu.Tunasubiri condom kuvaliwa nusu mlingoti ,ndio adhabu waliyojichagulia
Tanzania ni taifa teule la Mungu sio la kwao.
Huyo Mungu yeye hajui kuwa mtu anayemuweka atakuwaje?!! Acheni kumsingizia Mungu kwenye kila upumbavu!!!
Kwamba hakuna mikono na akili ya kufanya jambo ni mpaka Mungu aue??! Je akifa ndo solutions??! Nani hafi bhana!!! Yeye unayemuombea mwenyewe anajua lazma afe, na anajua kufa sio lazma wewe utake!!!
 
Ifikie hatua tuache ujinga huu wa kuwaombea viongozi wa hovyo kifo na badala yake tushinikize kupata Katiba Mpya yenye kutupatia nguvu wananchi ya kuwawajibisha watawala wetu wanapokengeuka.

Hii option ya kumwamini Mungu ni sawa, lakini naona wakati mwingine huwa "anajifanya haoni" na hachukui hatua kwa wakati kama tunavyotamani sisi
 
ndo naana inabidi tushinikize tupate Katiba Mpya na mtu/watu sahihi wa kutengeneza mifumo bora ili kiti hata ikitokea akakikalia "kenge" basi mambo yaweze kwenda vizuri na kuwe na namna ya kuwawajibisha hao "kenge"
 
Katika kutetea haki ya mtu, kinyume chake lazima utakuwa unaminya haki ya mtu ili huyo unaye mtetea apate haki yake..

Ni vigumu kunyambulisha utofauti wa mtetea haki wa kwanza ili wa pili apate haki au kinyume chake. (ndiyo maana yule alifoka kuwa hakuna sehemu aliahidi katiba) hakuahidi katiba lakini hata alipotangulia wengi walilia hasa wasio ijua katiba (wanaopambania mlo mmoja-ijapo siyo sifa)

Ni kheri uanze vibaya ili umalizie vizuri kuliko kinyume chake..

Vifaranga vikiwa vidogo kuanzia siku ya kwanza ya kutotolewa hadi miezi mitatu, vikiwa vinalia ni vigumu kujua upi mlio wa kifaranga cha kike au jogoo, wakati mwingine ni vigumu ramli kujua ama kutofautisha milio hiyo.

Shujaa aliyetunanga, ndo anaonekana kwa sasa kushikilia missile stinker ili afiatue bomu, je shujaa huyu atalenga sehemu sahihi au ataelekeza bomu kwa nyuma kama anodi shozniga kwenye muvi ya jeni?

Mtoa hoja kwa sasa silaha za watanzania kutetea haki hazipo mikono salama hasa kwa hawa mashujaa waliowananga.

Kerato
HANOI - VIETNAM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…