Voices from Within: Kama Moja ya Sababu za Kuitwa Kwake ni Udhalimu, Aliyemfuatia Akifanya Udhalimu, na Yeye Pia ...

Mzee wa kunyunyizia brake na accelerator Kwa pamoja,unafiki mtupu
 
Kafika point of no return
Kavuka red line zote
Kiburi, jeuri na mmlaka amevipenda
Hivyo tusubiri u matoke ya Karma

Kwa mujubu wa kikao cha wasio na mwili, hukumu imeshatoka
 
Umekuwa na nyuzi nyingi sana humu, je kuna Uzi wowote ambao ulijaribu kuadress chanzo cha haya (haki) kabla ya matokeo yenyewe! Hauna 'credibility' ya kushauri lolote Kwa sasa maana ulijikita ktk sifa na kujipendekeza Kwa watawala waovu.
Mkuu Ari. Arizona 1 , karibu mitaa hii

P.
 
Kuna watu wana utu hawawezi kushabikia uovu regardless kitakachowapata, najua wewe siyo miongoni mwao ndiyo maana maandiko yako mengi yanaegemea utawala dharimu.
Karibu kwenye baadhi ya mabandiko yangu kutetea udhalimu
P
 
Update ya Bandiko hili,
lengo la bandiko hili lilikuwa ni dogo tuu la uwepo wa nia ya dhati ya kisiasa ya kufanya jambo fulani dogo tuu when we still had time. Jambo hilo was just to make it right before it was too late, and not only to make it, by doing the right thing,at the right time and do it right, but very unfortunately, nia hiyo ya kisiasa haikuwepo!, as a result we did a wrong thing, at the right time, but we did it wrong na matokeo yake ndio kama vile, kile kilichotokea, ile October 29 ambao ni udhalimu mkubwa zaidi kuliko udhalimu wowote kuwahi kutokea Tanzania tangu kuasisiwa kwa taifa hili!.

Hivyo sasa, kitu kinachosubiriwa ni kimoja tuu, kama hii sauti ni yake YEYE mwenyewe, then tumsubirie YEYE, Atatenda, ila kabla hajatenda, nimeisikia sauti nyingine ikisema Kufanya Kosa si Kosa, kosa Kurudia Kosa!, Kama Kosa lina consequences, ukirudia, the consequences are the same!. Je Tujiandae for The Consequences au?

Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…