Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
VOLKANO YA KUNDUCHI - SERIKALI IMETOA UFUMBUZI GANI?
Habari hii ilivuma sana miaka mitatu iliyopita!
View: https://youtu.be/AxuC1PRaTEQ
View: https://youtu.be/RnoqUCZFBYg
wataalam wa jioolojia waligundua kitu gani kisayansi?
kweli hilo tope linatokana na volcano au ni udongo mfinyanzi tu uliozidi maji (quicksand)?
kauli za wananchi wakati mwingine zinaweza kukufanya ukatoka nduki watu wakakuokotea Ntwara!
kama kuna yeyote mwenye ripoti kamili tafadhari naomba utuelimishe na kututoa hofu! 😅 😅 😅 😅