volkano ya kunduchi - serikali imetoa ufumbuzi gani?

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
5,566
Reaction score
5,477
VOLKANO YA KUNDUCHI - SERIKALI IMETOA UFUMBUZI GANI?

Habari hii ilivuma sana miaka mitatu iliyopita!

View: https://youtu.be/AxuC1PRaTEQ

View: https://youtu.be/RnoqUCZFBYg

wataalam wa jioolojia waligundua kitu gani kisayansi?

kweli hilo tope linatokana na volcano au ni udongo mfinyanzi tu uliozidi maji (quicksand)?

kauli za wananchi wakati mwingine zinaweza kukufanya ukatoka nduki watu wakakuokotea Ntwara!

kama kuna yeyote mwenye ripoti kamili tafadhari naomba utuelimishe na kututoa hofu! πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…
 
Mpaka wafe watu tena wengi ndiyo watakuja kuleta uongo wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…