Nimatumain yangu wote wazima, mimi niko intreresetd sana kununua Volkswagen golf ya mwaka 2000, cc 1600 au cc1800, kwa sababu naona magari aina ya Toyota bei iko juu, je spea zake hapa tanzania zinapatikana pili mafundi wakutengeneza hizi gari wapo hapa kwetu tanzania pia kati ya VW ya cc 1600 na 1800 ipi nzuri
nawasilisha