Volkswagen Passat: Naomba ushauri kwa mwenye uzoefu na hizi gari

Volkswagen Passat: Naomba ushauri kwa mwenye uzoefu na hizi gari

strategist

Member
Joined
Oct 27, 2014
Posts
42
Reaction score
29
Wadau nimeshawishika kununua aina hii ya gari ila sina ufahamu wa kutosha juu ya upatikanaji wa spea, ulaji mafuta, uimara na balance ya gari hasa ikiwa kwenye mwendo kasi katika safari ndefu. Ushauri wenu ni muhimu kabla sijafanya maamuzi.
 

Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    83.8 KB · Views: 176
  • Capture1.PNG
    Capture1.PNG
    98.2 KB · Views: 113
Enjoy ur world, gari nzuri sana.Ila usiwe unaishi mkoa au eneo lenye njia yenye mawe mengi yaliyosimama, sio rafiki sana kwa barabara mbovu.
 
Back
Top Bottom