S strategist Member Joined Oct 27, 2014 Posts 42 Reaction score 29 Oct 30, 2016 #1 Wadau nimeshawishika kununua aina hii ya gari ila sina ufahamu wa kutosha juu ya upatikanaji wa spea, ulaji mafuta, uimara na balance ya gari hasa ikiwa kwenye mwendo kasi katika safari ndefu. Ushauri wenu ni muhimu kabla sijafanya maamuzi. Attachments Capture.PNG 83.8 KB · Views: 176 Capture1.PNG 98.2 KB · Views: 113
Wadau nimeshawishika kununua aina hii ya gari ila sina ufahamu wa kutosha juu ya upatikanaji wa spea, ulaji mafuta, uimara na balance ya gari hasa ikiwa kwenye mwendo kasi katika safari ndefu. Ushauri wenu ni muhimu kabla sijafanya maamuzi.
nchimbie Senior Member Joined Apr 19, 2015 Posts 174 Reaction score 63 Dec 3, 2016 #2 Iko vizuri ila spare
kijana wa leo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2011 Posts 2,921 Reaction score 7,173 Dec 3, 2016 #3 Enjoy ur world, gari nzuri sana.Ila usiwe unaishi mkoa au eneo lenye njia yenye mawe mengi yaliyosimama, sio rafiki sana kwa barabara mbovu.
Enjoy ur world, gari nzuri sana.Ila usiwe unaishi mkoa au eneo lenye njia yenye mawe mengi yaliyosimama, sio rafiki sana kwa barabara mbovu.
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 Dec 7, 2016 #4 Gari nzuri,spares zipo sana tu.