Katika hizi nne ipi ipewe kipaumbele na kwa sababu zipi. NB itakua ndio gari yangu ya kwanza kumilikiAchana na VW.
Kwenye Priorities zako izo nne, chukua yoyote utakayopata ipo katika hali nzuri.
Achana na iyo VW tafadhali.
Kwakua unataka kuchukua kwa mtu achana na hiyo polo, labda ingekua una agiza nje apo sawa. ushauri wangu anza na premio ukisha pata experience ya magari then vuta pumzi kaza kamba nunua hiyo polo yako njeKatika hizi nne ipi ipewe kipaumbele na kwa sababu zipi.nb itakua ndio gari yangu ya kwanza kumiliki
Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Shukrani kwa ushauri kiongozi,na je hivi kuna utofauti gani kitalam kati ya premio na allion maana sokon kama premio bei imechangamka kuliko allionKwakua unataka kuchukua kwa mtu achana na hiyo polo, labda ingekua una agiza nje apo sawa. ushauri wangu anza na premio ukisha pata experience ya magari then vuta pumzi kaza kamba nunua hiyo polo yako nje
Magari ya Mjerumani chukua ukiwa na gari ndani mbili au moja. Anza na ToyotaKwa wenye uzoefu na gari tajwa hapo juu.
Ni ya 2012
Cc 1200
Kiufupi sina uzoefu na magari zaidi ya kuendesha ya watu,nmetokea kuipenda muonekano wa hii gari na kuna mtu anaiuza,sasa kabla sijafanya maamuzi ya kuichukua naomba kufahamishwa yafuatayo
1. Bei yake kuagiza mpaka naingia nayo barabaran.
2. Ground clearance yake inafaa rough road?
3. Fuel consuption
4. Upatikanaji wa vifaa.
5. Mafundi wake kwa Tanzania wapo wengi?
6. Je, usumbufu wake mkubwa upo kwenye nini haswa?
Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Shukrani kiongozi.ngoja nijifunzie tu kwa ndugu yetu wa damu toyotaMagari ya Mjerumani chukua ukiwa na gari ndani mbili au moja. Anza na Toyota
Nawasubiri waje wanipe muongozo ,nisije kuwa mlisha familia za mafundi bureNgoja waje kukupa muongozo...
Mkuu ngoja nikuitie Extrovert ni mtalaam zaidi wa hizi gari za japanShukrani kwa ushauri kiongozi,na je hivi kuna utofauti gani kitalam kati ya premio na allion maana sokon kama premio bei imechangamka kuliko allion
Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Ndiyo mkuu jifunze kwanza kwa toyotaShukrani kiongozi.ngoja nijifunzie tu kwa ndugu yetu wa damu toyota
Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Achukue Premio iko na Re-Sale value ya juu kuliko Allion.Oxpower anataka ushauri kati ya Allion na premio achukue ipi
Tatizo anataka kuchukua kwa mtu , wa bongo wengi na utunzaji wetu wa hizi Wazungu hua kipengele bora angekua ana agiza nje.Kama unapenda mbio chukuo VW(Vimba Wewe) vingine utajifunza ukiwa tayari ushamiliki.
Usije ukafanya makosa na kuanza safari ya kumiliki gari nje ya Toyota😀Shukrani kiongozi.ngoja nijifunzie tu kwa ndugu yetu wa damu toyota
Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Kwaiyo hizo za toyota una uhakika gani zimekuwa na record nzuri za matunzo.. Unaweza kuta Polo TSI inakwa na maisha marefu kuliko hizo mnazopigia debe..Tatizo anataka kuchukua kwa mtu , wa bongo wengi na utunzaji wetu wa hizi Wazungu hua kipengele bora angekua ana agiza nje.
Inawezekana Mkuu ila wa bongo wengi utunzaji wetu wa gari za kizungu ni mtihani , kingine wazoefu wa hizi gari hua wana shauri mtu kama gari yake ya kwanza kumiliki aanze na mjapan hasa ToyotaKwaiyo hizo za toyota una uhakika gani zimekuwa na record nzuri za matunzo.. Unaweza kuta Polo TSI inakwa na maisha marefu kuliko hizo mnazopigia debe..