Be kind mzeeTafuta hela
Chukua bila kusita ni gari ngumu nzuri na very unique.. Chukua ya diesel ndio utafaidi zaidiHabari wadau
Tafadhari naomba uzoefu kwa mtu amewahi kumiliki ama yupo familiar na Volvo V40 (hasa ya 2012-2019). Ningependa kujua juu ya reliability, common issues, fuel consumption na availability ya mafundi na spares kwa hapa TZ. Nmekuwa napita pita mtandaoni naona ni gari yenye features nzuri sana na affordable naamini kutakuwa na mtu mwenye mawili matatu nayo.
So far details nilizonazo najua ina options mbili, diesel na petrol na zinaanzia cc1600 mpaka zaidi ya 2000. Ningependa mtu ataeshare experience aseme yeye ana uzoefu na yenye options zipi na mwaka gani. Natanguliza shukrani.
View attachment 3207610
kaka naomba details zaidi ya experience yakoChukua bila kusita ni gari ngumu nzuri na very unique.. Chukua ya diesel ndio utafaidi zaidi
Kind kiaje heshima pesa bablaiBe kind mzee
Hii gari ipo kwenye fuel consumption inategemea na aina ya engine mfano: unapata kiolomita 15-17 kwa lita kama ni petroli au 20 hadi 25 kama ni diseli.Habari wadau