Vote for Ally Kiba MTV Awards

Vote for Ally Kiba MTV Awards

Nimesha vote, hata akikosa nitaendelea kumkubali KIBA muziki wake hauchoshi unaishi siku hadi siku, Mond ana mziki wa kulipuka na kutokomea kama volkano kitu ambacho sikipendi kwa hiyo mimi kiba ndio zaidi apate tuzo asipate tuzo poa tu, Kwani OTTU jazz na maquize walivyokuwa wanapiga kulikuwa na tuzo za ulaya?! mbona maisha yalisonga tu.
 
Mkuu umeongea point kwa uchungu sana
 
Sasa habari za kumpigia Ali Kiba, Diamond anaingia vipi? Kwanini usimlinganishe Kiba na wapinzani wake kwenye hilo group?!
 
Mkuu umeongea point kwa uchungu sana
Hamna point bali kaongea ujinga! Mleta Mada kaja kuomba kura kwa ajili ya Ali Kiba!! Wanakuja wengine wanaleta habari za Ali Kiba na Diamond! Kulikuwa na sababu gani za uzi wa kumwombea kura Kiba mtu anaanza kuleta habari za Diamond?! Kwanini asimlinganishe Kiba na wengine aliokuwa kwenye kundi lake?
 
Sasa habari za kumpigia Ali Kiba, Diamond anaingia vipi? Kwanini usimlinganishe Kiba na wapinzani wake kwenye hilo group?!
Diamond kawa maji kwa team kiba.
Wasipokunywa wataoga
 
Diamond kawa maji kwa team kiba.
Wasipokunywa wataoga
Yaani wanatia huruma hawa jamaa... halafu wanavyohangaika kumpambanisha Kiba na Diamond! Wanasahau kwamba wenye akili zao wanatumia statistics and figures! Ukimweka Kiba na Diamond kwenye statistics and figures ni kama kupambanisha mlima na kichuguu! Wanasahau hata huko mbele watu wanaangalia "ana album ngapi (statistics & figures); ameuza nakala ngapi (statistics & figures), ana endorsements ngapi (statistics & figures), anamiliki nini (statistics & figures)!!! Kinyume chake, wanataka ku-rate kwa kutumia emotions... eti huyu ana sauti mzuri, yule na huyu anajua kuimba... what' the hell is that! Haya yote yanategemeana na taste ya mtu!
 
acha ni vote ila najua maneno yake mtaan yatakuwa sio madogo.....
vote.PNG
 
Back
Top Bottom