VOTE FOR DIAMOND PLATINUMZ: MTVEMA Worldwide Act: Africa / India

Yaan nikiamka tu asubuh naanza na kura 50
nikienda chooni zingine 50
mchana nikiwa break ofsn 50
nikiwa kwenye foleni 20 maana huwa kifoleni kinaenda enda
nikirudi nyumbani kabla sijalala 50
nyie wengine mpigieni hata amitah bachan wala hamtupi presha na akishinda kama kawaida airport tutaenda na picha tutapiga na kuziona mtaziona na ku like juu....Ama nenee
 
Diamond sio tu kwasababu anajitambua na umeilewa lakini ni alama ya Tanzania kimataifa...

Kura yangu anayo.baba tiffah
 

shauri yako utaolewa
 
Kura 2000 kwa siku zinatosha kabisa kwa siku 3 zilizo baki
 
Wakuu inabidi tu-vote bila kuchoka coz' am afraid tusivyojipanga vizuri ile series ambayo Priyanka ana-lead inaweza kumbeba sana kwa kujiongezea mashabiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…