wa_hapa_hapa
Member
- Mar 27, 2014
- 23
- 2
Come on guys, let's put aside our disparities and vote for this guy representing the entire east Africa in this competition
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani na nimempigia kura Diamond, kawaacha wenzake mbali sana, lakini bado kuna muda mrefu mpaka siku hiyo ya BET Awards June 29th, 2014. Haya Wabongo tumpigie kura mwenzetu kwa mamilioni tusibweteke kwa kuona kwa sasa anaongoza kwa asilimia nyingi maana hao waliomo kwenye category hii nao pia watafanya kampeni ya kuomba kura kwenye nchi zao.

Mkuu BAK nimekuwa nikifuatilia hizi tunzo kwa miaka zaidi ya miaka 4, sikuwahi kuina category hiyo ambayo Diamond amekuwa Nomineted, Je Category hii ni mpya?