Vote for Diamond

Mwalutego

Member
Joined
Apr 5, 2019
Posts
9
Reaction score
20
Again kijana wetu anazidi kutuwakilisha vyema kimataifa sas yuko nominated kwenye TUZO KUBWA ZITAKAZOFANYIKA MAREKANI November mwaka huu..

Mpigie kura diamond katika kipengele alichowekwa kama msanii mwenye ushawishi zaidi barani AFRICA ..kipengele hicho anashindanishwa yeye na wasanii wengine nguli kutoka Africa.
Kina davido,Tiwasavage,yemi alade na wengineo.

Vote for diamond.
 

Attachments

  • Screenshot_20190904-231627.jpeg
    27.6 KB · Views: 19
  • Screenshot_20190904-231627~2.jpeg
    43.9 KB · Views: 20
  • Screenshot_20190904-231627~2.jpeg
    43.9 KB · Views: 18
Hii sasa ndio tunaita tuzo ya kimataifa. Kama ipo ipo Mzungu sio mnafiki hongera kijana.
 
It will take years kwa diamond kupata mpinzani bongo
 
Kubet ni kazi,inasumbua sana,mi nimeshindwa kabisa,kila nikijaribu nashindwa.
 
Iko wapi Link mie nikapige kura, huyu ndio msanii wa kimataifa sio huyo anayejiita Kinga, mtu mwenye nyodo sana huyu mwamba. Mie naumelewa sana Diamond
 
Weka link tupige Kura, huyo ndo msanii hawa wengine ni waanguaji wa maembe tu
Link iko kwenye insta page ya E!news au WCB wasafi,mimi nilishapiga mapema Jana,he deserve to be voted.
 
Kwani mashabiki hatuwezi kuwashabikia wasanii wote kwa wakati mmoja...Tunahitaji kina Mondi wengi acheni roho mbaya.

Nitapiga kura.
 
Kwani mashabiki hatuwezi kuwashabikia wasanii wote kwa wakati mmoja...Tunahitaji kina Mondi wengi acheni roho mbaya.

Nitapiga kura.
Mkuu bado hujaamsha mamton..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…