Sasa usichokubali ni nini? we piga kura. Wewe upo wapi? Hivi hujui kwamba Wakenya alitangaza sana kuwa mlima huu upo Kenya. Na watu wengi wanajua hivyo. Tunafanya kazi sana kuwa elimisha kuwa upo Tanzania. Watalii wengi huenda Kenya wakiaamini huo mlima upo huko. Na wanatumia njia za panya wafike huko mt. Kilimanjaro.
Sasa kwa nini watalii wasije Tanzania moja kwa moja?
Nimekutana na mtu ananibishia kweli kwamba mlima upo Kenya, yeye anarafiki mkenya na kamwambia eti jina Kilimanjaro linatokana na kikuyu, Kiswahili, Kenya n.k
Labda wewe unayetaka convincing huenda ni Mkenya.
Kila la heri.
Tanzania itajengwa na wenye moyo na italiwa na wenye meno