Vote for Sauti Sol, best worldwide act

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
baada ya kutusaidia kupunguza kelele za mwanajeshi wa sinza kwa kushinda EMA best african act sasa tuwasaidie pia washinde best worldwide act..vote for these talented dudes...sura yako muzuuuri maaamaaa
 
Aibu ya mwaka... mkiambiwa hamna kingine kinachowasumbua zaidi ya wivu, mnakuja juu!! Yaani mie Mtanzania niwapigie kura Wakenya kwa sababu Diamond ataringa; pyuuuuu!
 
Ni hiviii sipigi kura
Nasepa hivyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…